Mpendwa Rafiki,
Unajua nini kinauma kuliko mshahara mdogo?
Ni kuwa na mshahara lakini bado unaishi kama huna kazi.
Kila mwezi hela zinaingia… lakini hazikai.
Kila siku unasema, Mwaka huu lazima nibadili maisha… lakini bado umerudi palepale.
Unajituma kazini, unachoka, lakini mafanikio yako bado yako pending!
Halafu cha ajabu… watu walioanzisha biashara wakiwa bado kwenye ajira, leo hii wameanza kuamua hata siku ya ku-resign.
Wewe bado unaota tu, “siku moja…”
Siku moja haiji bila hatua, bro!
Ngoja nikuambie ukweli mchungu lakini wa maana…
Kama
hujui kudili na pesa zako, hujui kupangilia muda wako vizuri, hujui
kujiwekea direction ya mafanikio hata upewe mshahara mara mbili, bado
utalia.
Utaishi ukifukuza maisha mpaka unazeeka.
ENDELEA KUJIFUNZA MENGI NDANI YA HII BLOG INAYOITWA ELIMU UJUZI TANZANIA BLOG
INAYOENDESHWA NA MWL . JAPHET MASATU--
WA DAR ES SALAAM , TANZANIA , AFRIKA YA MSHARIKI TUWASILIANE KWA CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136