ELIMU UJUZI TANZANIA BLOG
ELIMU UJUZI BLOG NI BLOG YA JAMII AMBAYO NDANI YAKE KUNA ELIMU , UJUZI , UBUNIFU , MAFUNZO MBALIMBALI , UTAALAMU , STADI ZA MAISHA. AKIBA . UWEKEZAJI , UJASIRIAMALI , DINI , SAIKOLOJIA , TEOLOJIA , FALSAFA , NIDHAMU , ELIMU YA PESA , KUSOMA RIWAYA / HADITHI , USHAIRI , MICHEZO YA KUIGIZA . KARIBU UPATE MAARIFA UWEZE KUJIAJIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.
Saturday, August 29, 2026
TUMIA FIKRA ZAKO KUFANYA MIUJIZA NA KUPATA CHOCHOTE UNACHOTAKA KWENYE MAISHA YAKO ----NA MWL. / KOCHA JAPHET MASATU ----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 717 924136 / + 255 755 400 128
Dunia inaendeshwa kwa upacha , kwenye DINI kuna MUNGU na SHETANI , kwenye SAYANSI tuna CHANYA NA HASI , kwenye FALSAFA tuna WEMA na UOVU. Lakini yote haya ni hali ya FIKRA ZETU . Kama FIKRA zetu zikisimamiwa vizuri zinaleta matokeo mazuri , kama zisiposimamiwa zinaleta matokeo mabaya. CHAGUA kupeleka Fikra zako kwenye kile unachotaka na siyo usichotaka , kwa sababu FIKRA zinazotawala AKILI yako ndizo zinazoleta matokeo kenye maisha yako. ( MWL / COACH JAPHET MASATU 1976---2026 --TANZANIA---AFRIKA MASHARIKI )
Thursday, August 13, 2026
Wednesday, August 12, 2026
Saturday, August 1, 2026
MUNGU HAKUKAMILISHA DUNIA: KWA NINI ALIMPA MWANADAMU KIPAJI CHA UBUNIFU ?? ----NA MWL / KOCHA / COACH / BLOGGER / MWANDISHI / MOTIVATIONAL / PUBLIC SPEAKER / MC JAPHET MASATU ------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924136 / + 255 755 00128
MUNGU alitupatia DUNIA hii ikiwa haiko kamili ili nasi tushiriki katika UUMBAJI ( UBUNIFU ).MUNGU alifanya MITI lakini hakufanya VITI , KABATI , MEZA , n.k. MUNGU alitengeneza ARDHI na MADINI lakini hakufanya MAGARI , VIOO , MABATI , n,k, MUNGU hakufanya vyote hivyo akijua SISI ametuumba tukiwa na KIPAJI CHA UBUNIFU.
TUNAPOBUNI kitu chenye kusaidia binadamu tunapata MAFANIKIO. CHA AJABU SISI TUMEKUWA SIYO WABUNIFU , TUNALALAMIKA UMASKINI NA KUWA OMBA OMBA.
( BY MWL / KOCHA / COACH / MWANDISHI / BLOGGER , MOTIVATIONAL / PUBLIC SPEAKER JAPHET MASATU-----CALL / SMS / WHATSAPP + 266 716 924136 / + 255 755 400 128