Dunia inaendeshwa kwa upacha , kwenye DINI kuna MUNGU na SHETANI , kwenye SAYANSI tuna CHANYA NA HASI , kwenye FALSAFA tuna WEMA na UOVU. Lakini yote haya ni hali ya FIKRA ZETU . Kama FIKRA zetu zikisimamiwa vizuri zinaleta matokeo mazuri , kama zisiposimamiwa zinaleta matokeo mabaya. CHAGUA kupeleka Fikra zako kwenye kile unachotaka na siyo usichotaka , kwa sababu FIKRA zinazotawala AKILI yako ndizo zinazoleta matokeo kenye maisha yako. ( MWL / COACH JAPHET MASATU 1976---2026 --TANZANIA---AFRIKA MASHARIKI )
ELIMU UJUZI BLOG NI BLOG YA JAMII AMBAYO NDANI YAKE KUNA ELIMU , UJUZI , UBUNIFU , MAFUNZO MBALIMBALI , UTAALAMU , STADI ZA MAISHA. AKIBA . UWEKEZAJI , UJASIRIAMALI , DINI , SAIKOLOJIA , TEOLOJIA , FALSAFA , NIDHAMU , ELIMU YA PESA , KUSOMA RIWAYA / HADITHI , USHAIRI , MICHEZO YA KUIGIZA . KARIBU UPATE MAARIFA UWEZE KUJIAJIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment