Saturday, August 1, 2026

MUNGU HAKUKAMILISHA DUNIA: KWA NINI ALIMPA MWANADAMU KIPAJI CHA UBUNIFU ?? ----NA MWL / KOCHA / COACH / BLOGGER / MWANDISHI / MOTIVATIONAL / PUBLIC SPEAKER / MC JAPHET MASATU ------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924136 / + 255 755 00128

 MUNGU  alitupatia  DUNIA  hii  ikiwa  haiko   kamili  ili  nasi   tushiriki  katika  UUMBAJI ( UBUNIFU ).MUNGU  alifanya  MITI  lakini  hakufanya  VITI , KABATI ,  MEZA , n.k. MUNGU  alitengeneza  ARDHI  na   MADINI  lakini  hakufanya  MAGARI , VIOO , MABATI , n,k, MUNGU hakufanya vyote  hivyo  akijua SISI  ametuumba  tukiwa  na   KIPAJI   CHA  UBUNIFU.

TUNAPOBUNI  kitu  chenye   kusaidia  binadamu   tunapata  MAFANIKIO. CHA   AJABU  SISI  TUMEKUWA  SIYO   WABUNIFU , TUNALALAMIKA  UMASKINI   NA  KUWA  OMBA   OMBA. 

 (  BY  MWL / KOCHA /  COACH   / MWANDISHI /  BLOGGER  , MOTIVATIONAL /  PUBLIC  SPEAKER    JAPHET    MASATU-----CALL /  SMS /  WHATSAPP   + 266  716  924136  /    +  255 755  400 128

No comments:

Post a Comment

WHATSAPP NUMBER