ELIMU UJUZI BLOG NI BLOG YA JAMII AMBAYO NDANI YAKE KUNA ELIMU , UJUZI , UBUNIFU , MAFUNZO MBALIMBALI , UTAALAMU , STADI ZA MAISHA. AKIBA . UWEKEZAJI , UJASIRIAMALI , DINI , SAIKOLOJIA , TEOLOJIA , FALSAFA , NIDHAMU , ELIMU YA PESA , KUSOMA RIWAYA / HADITHI , USHAIRI , MICHEZO YA KUIGIZA . KARIBU UPATE MAARIFA UWEZE KUJIAJIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.
Wednesday, July 2, 2025
KITABU 352----LAANA ZISIZOJULIKANA / ZILIZOSAHAULIKA ---NADHIRI , MEZA YA BWANA , UZINZI / UASHERATI , KUTOJALI--FULL KITABU-----MAMBO KADHAA YASIYOZINGATIWA SANA NA YANAYOWEZA KUTULETEA LAANA IWAPO TUTASHINDWA KUFANYA JAMBO HILO IPASAVYO---TUMEJILETEA LAANA PASIPO KUJUA----NA GEORGE DANIEL SUSU----TANZANIA----( PDF )---CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITINI---UCHUNGUZI WA AGANO LA KALE NA JIPYA ---MUHTASARI WA KOZI ----FULL NUKUU----PROGRAMU YA ASTASHAHADA YA BIBLIA NA THEOLOJIA---DILPOLMA IN BIBLE AND THEOLOGY---ICM SEMINARY -----MAPINGA CAMPUS----BY MEINRAID ANTHONY MTITU---AGOSTI 2017---TANZANIA----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Tuesday, July 1, 2025
Monday, June 30, 2025
Saturday, June 28, 2025
Thursday, June 26, 2025
Saturday, June 7, 2025
Friday, June 6, 2025
Thursday, June 5, 2025
Tuesday, June 3, 2025
MAKALA : JENGA MIFEREJI MINGI YA PESA , UKIZIBA MMOJA MINGINE INATOA MAJI -----NA MWL. JAPHET MASATU ----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Kakaa/Dadaa Yangu….
Hii ni siri lakini nitakudokezea…
Chanzo kimoja cha kipato ni kama mpenzi mwenye moods za ajabu.
Leo anakupenda.
Kesho anakusumbua.
Kesho kutwa anakudharau.
Na cha ajabu zaidi…
Wewe bado upo tu hapo, unamtegemea!
Sasa hebu jiulize:
Kama kazi yako itakoma leo, utaishije?
Kama biashara yako itakufa kesho, utaishije?
Kama mteja wako mkubwa atakata mawasiliano, utaanzia wapi?
Wewe ni kama mtu aliyepo kwenye ghorofa ya kumi,
na lifti imeshaanza kulegea…
Lakini bado unasema:
“Ah, bado ipo sawa tu.”
Tena ndo maana kila mwezi unatafuta chimbo la kukopa
Mwezi haujaisha, tayari unahangaika na maneno ya nitakulipa kesho.
Na unajua kabisa…
Ucheleweshaji wa kipato kimoja ni kama kufungiwa pumzi moja, hakuna backup.
Halafu kuna kauli za kuzima ndoto zako:
Ukianza biashara nyingine utachanganyikiwa…
Achana na mambo mengi… jipange na kimoja.
Kwanza vumilia hapo hapo hadi upate promotion.
Hahaaa!
Uvumilivu wa aina hiyo ni mzigo.
Na promotion ya kungojea miaka mitano ni matumaini hewa.
Leo vijana wenye akili timamu wana vyanzo vitatu hadi vitano.
Wanafanya kazi.
Wanauza online.
Wanafundisha watu.
Wanatoa huduma kwa bei nafuu.
Na wanaishi kama watu, sio mashine za kungojea mshahara.
Sasa sikiliza kaka, dada…
Unahitaji kujenga mifereji mingi ya pesa.
Ukiziba mmoja, mingine inatoa maji.
Ukikwama mahali, bado una uhakika wa kuishi bila stress.
Anza hivi:
Andika skills zako.
Tafuta hitaji kwenye jamii.
Tafuta njia rahisi ya kulifikia soko (mitandao ni msaada mkubwa).
Anza kutoa thamani.
Tumia muda wa jioni kujenga pesa ya kesho.
Ukiwa na simu yenye data, una bunduki mikononi.
Swali ni moja tu: Umeamua kuipigia kazi ama unaishikilia tu kama kijiti cha tambara?
Leo niko na jamaa mmoja, anaitwa Mushi.
Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi.
Alikuwa anategemea mshahara mmoja kila mwezi shilingi laki nne tu.
Baada ya kukosa mshahara kwa miezi miwili, almost alipagawa.
Nikampatia kitabu hiki cha BIASHARA NDANI YA AJIRA,
Na nikamsaidia kujua namna ya kuandika ebooks kwa Kiswahili rahisi.
Leo hii:
Ana vitabu vinavyouzwa mtandaoni.
Ana group la Telegram linalotoa mafunzo ya malezi.
Anaanza kupata mialiko kufundisha mashuleni.
Anapata zaidi ya mshahara wake wa zamani na kwa uhuru.
Kila nikimcheki ananiambia:
Kipato kimoja ni kama kula chakula bila maji, kinakwama koo na kinahatarisha maisha!
Sasa ni zamu yako.
Acha kuwa mateka wa chanzo kimoja cha pesa.
Anza kuchimba visima vingine leo kabla jua halijazama.
Anza na ndoto zako.
Anza na muda wako mdogo.
Anza na simu yako.
Kama unataka kuungana na mushi kwenye safari ya kutengeneza vyanzo vingi vya kipato,
Usiogope kuanza vingi, ogopa kubaki na kimoja kinachokuteka.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
MWL. JAPHET MASATU , DAR ES SALAAM , TANZANIA --- EAST FRIKA -------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Saturday, May 31, 2025
Friday, May 30, 2025
Monday, May 26, 2025
Thursday, May 22, 2025
Sunday, May 18, 2025
Thursday, May 15, 2025
Tuesday, May 13, 2025
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU --( 08)----AGANO JIPYA --( 08 )---YESU---NAMNA INJILI ZILIVYOTUNGWA , INJILI ILIVYOANDIKWA NA MATHAYO , MARKO , LUKA , YOHANE , INJILI ZA SINOPTIKI , HABARI ZA UTOTO WA YESU , NDUGU ZA YESU ,NYARAKA KWA WATU WOTE NA UFUNUO , ZABURI , ---FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQUET DEUS CHAUX . M. Afr.----TANZANIA----( PDF )---CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Monday, May 12, 2025
KITABU 340 : 101 WAYS TO MAKE MOBEY IN AFRICA---FULL BOOK---LUCRATIVE BUSINESS IDEAS , INSPIRING SUCCESS STORIES , AND INTERESTING BUSINESS OPPORTUNITIES FOR FORWARD THINKING ENTREPRENEURS----BY JOHN AUL LWUOHA & HARNET BOKREZION PHD-----FIRST EDITION , NOVEMBER , 2014-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
MAKALA : UTULIVU , AMANI , FURAHA , UPENDO HAVIUZWI DUKANI VIPO NDANI YAKO , VIFUKUE UFURAHIE MAISHA---KUWA NA TAHAJUDI ( MEDITATION ) KILA SIKU KWA DAKIKA 5 .10 . 15 INATOSHA-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Kakaa/Dadaa…
Hivi unajua ni kwa nini kila siku unaamka umechoka hata kama ulilala masaa 8?
Kuna kitu kimoja tu kinakusumbua… akili yako haipumui.
Una mawazo mengi.
Stress.
Presha.
Mengine hata hujui yanatoka wapi.
Lakini yanakutesa.
Unasema huna muda.
Unasema maisha ni magumu.
Unasema nitapumzika nikiwa kaburini.
Lakini ukweli ni huu:
Ukikosa utulivu ndani yako…
Hakuna utakachofanikisha nje yako.
Sasa Tuseme Ukweli Wote….
Unajitesa Mwenyewe.
Umezoea kukimbizana na kila kitu.
Simu haikai mbali.
TV haizimwi.
Instagram haifungwi.
Magroup ya WhatsApp hayanyamazi.
Hali hii inakuua polepole.
Inakuondolea amani.
Inakurudisha nyuma.
Na mbaya zaidi…
Unadhani hiyo ndiyo kawaida ya maisha.
Achana Na Uongo Wa DUNIA.
Watu wengi hawajui siri hii…
Kuna njia moja rahisi sana ya kupata amani ya ndani.
Ya kutuliza kichwa.
Ya kujisikia safi hata ukiwa huna kitu.
Inaitwa tahajudi (meditation).
Dakika 10 tu kwa siku zinaweza kubadilisha kila kitu.
Watu wanasema…
“Ah hiyo ni ya Waasia.”
“Ni mambo ya yoga.”
“Ni mapepo.”
Lakini siyo kweli.
Tahajudi ni tiba ya kiroho, kiafya, na kisaikolojia.
Ni nafasi ya kuongea na nafsi yako.
Kusafisha akili yako.
Kusikiliza kilicho ndani yako..
Jifunze Kitu Hapa….
Meditation haichukui muda.
Haitaki pesa.
Haibagui dini wala elimu.
Unakaa tu kimya. Unavuta pumzi. Unawaza kwa utulivu.
Dakika 5. 10. 15.
Inatosha.
Kila siku.
Polepole, unajiona mtu tofauti.
Unaanza kuelewa maisha.
Unaanza kuishi kwa amani.
Ndiyo dawa ya wasiwasi.
Ndiyo suluhisho la stress.
Ndiyo siri ya watu wenye mafanikio makubwa.
Mimi Niliwahi KUPOROMOKA KISAIKOLOJIA.
Na nitakuambia ukweli huu…
Miaka michache iliyopita, maisha yalinigonga mkwara.
Nilikuwa nimechanganyikiwa.
Mara deni, mara pressure, mara msongo, mara mahusiano hayajakaa vizuri.
Siku moja nikakaa chini. Nikasema, Acha nijaribu hii tahajudi.
Nilikaa kimya. Nikavuta pumzi.
Nilianza polepole.
Siku ya kwanza… hakuna nilichosikia.
Siku ya pili… niliboreka.
Siku ya tatu… nililia.
Siku ya saba… nilitulia.
Na tangu siku hiyo…
Maisha yamebadilika.
Sina presha ya maisha.
Nimejifunza kujisikiliza.
Nimejifunza kuwa mtulivu hata dunia ikiwa inateketea.
Na leo, najisikia kuwa hai kwa mara ya kwanza.
Mwisho Wa SIKU…
Usubiri msiba ndipo uanze kujitafuta.
Usingojee maisha yakuchoshe kabisa ndio uanze kutafuta utulivu.
Anza leo.
Kaa chini.
Fumba macho.
Vuta pumzi.
Futa mawazo.
Sikiliza moyo wako.
Hapo ndipo utagundua kuwa utulivu hauuziwi upo ndani yako.
Friday, May 9, 2025
Monday, May 5, 2025
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA---( 06 )----AGANO JIPYA----( 06 )---UTANGULIZI---UTUNGO WA VITABU VYA AGANO JIPYA---PETRO----SHIRIKA LINAANZA---MAISHA YA SHIRIKA-----NAMNA KANISA LILIVYOENDA MWANZONI---FULL NUKUU-----NA PADRE J. BOUQUET DES CHAUX, M. Afr----TOLEO LA PILI-----1997-----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Sunday, May 4, 2025
KITINI-----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI ----DARASA LA SITA ( STD 6 )----" UFUNDI BOMBA " ----MABOMBA YA PLASTIKI , KUFANYA MATENGENEZO YA MABOMBA YA PLASTIKI , UTANDIKAJI NA UUNGAJI WA MABOMBA-----FULL NUKUU----KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Friday, May 2, 2025
JE , MSHAHARA WAKO WA KILA MWEZI WA KUTOSHA ???? UTAISHI UKIFUKUZA MAISHA MPAKA UNAZEEKA ------ ????
Mpendwa Rafiki,
Unajua nini kinauma kuliko mshahara mdogo?
Ni kuwa na mshahara lakini bado unaishi kama huna kazi.
Kila mwezi hela zinaingia… lakini hazikai.
Kila siku unasema, Mwaka huu lazima nibadili maisha… lakini bado umerudi palepale.
Unajituma kazini, unachoka, lakini mafanikio yako bado yako pending!
Halafu cha ajabu… watu walioanzisha biashara wakiwa bado kwenye ajira, leo hii wameanza kuamua hata siku ya ku-resign.
Wewe bado unaota tu, “siku moja…”
Siku moja haiji bila hatua, bro!
Ngoja nikuambie ukweli mchungu lakini wa maana…
Kama
hujui kudili na pesa zako, hujui kupangilia muda wako vizuri, hujui
kujiwekea direction ya mafanikio hata upewe mshahara mara mbili, bado
utalia.
Utaishi ukifukuza maisha mpaka unazeeka.
ENDELEA KUJIFUNZA MENGI NDANI YA HII BLOG INAYOITWA ELIMU UJUZI TANZANIA BLOG
INAYOENDESHWA NA MWL . JAPHET MASATU--
WA DAR ES SALAAM , TANZANIA , AFRIKA YA MSHARIKI TUWASILIANE KWA CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITINI----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI----DARASA LA SITA ( STD 6 )--- "KILIMO NA UFUGAJI "----USTAWISHAJI WA MIMEA YA MAZAO YA CHAKULA---MPUNGA , MTAMA , UWELE , MIHOGO , VIAZI MVIRINGO , VIAZI VITAMU , MAHARAGE , KUNDE , MBAAZI----UJENZI WA MABANDA YA KUFUGIA WANYAMA---UTENGENEZAJI WA VYOMBO VYA WANYAMA WAFUGWAO---UFUGAJI WA NGURUWE & KUKU WA MAYAI---KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Thursday, May 1, 2025
KITINI---STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI ----DARASA LA NNE ( STD 4 )---( 19 )---UPISHI ----KANUNI ZA USALAMA NA USAFI KATIKA UPISHI , UKAANGAJI WA VITAFUNO , UPISHI WA CHAPATI , UPISHI WA BISI , UTAYARISHAJI WA VINYWAJI MOTO CHAI NA KAHAWA----FULL NUKUU---KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA-----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU ---( 05 )----AGANO LA KALE----( 05 )----ISRAELI ANANGOJA ----UTANGULIZI ,, WAYAHUDI WANARUDI KUTOKA UHAMISHONI : EZRA NA NEHEMIA , MAJARIBIO YA MWISHO ----FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQET CHAUX , M.Afr. ----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU ---( 05 )----AGANO LA KALE----( 05 )----ISRAELI ANANGOJA ----UTANGULIZI ,, WAYAHUDI WANARUDI KUTOKA UHAMISHONI : EZRA NA NEHEMIA , MAJARIBIO YA MWISHO ----FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQET CHAUX , M.Afr. ----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
FIKRA ZINA NGUVU YA KUATHIRI MAISHA YAKO
" Kumbuka ukiweza kubadilisha fikra zako, unaweza kubadilisha maisha yako."
Wednesday, April 30, 2025
KITABU 338 --- JIFUNZE BIBLA TAKATIFU ---( 04 )-AGANO LA KALAE---( 04 )---JARIBIO ---UTANGULIZI , DHAMBI YA ISRAELI , MANABII , ISAYA , YOSIA NA MATENGENEZO YA DINI , YEREMIA NA JARIBIO KUBWA , EZEKIELI , MAANDIKO MENGINE YA WAKATI ULE---MWANZO I--II , ISAYA YA II----FULL NUKUU----NA PADRE J. BOUQUET DES CHAUX , M.Afr.-----TOLEO LA PILI ---1997---CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Friday, April 18, 2025
KITINI---STADI ZA KAZI---DARASA LA NNE ( STD 4 )---ELIMU UJUZI / AMALI----( 16 )----" USUSI "-----UTENGENEZAJI WA VIFAA KWA KAMBA---USOKOTAJI WA KAMBA ZISIZO ZA RANGI ( MAFUTO ) NA ZA RANGI------UTENGENEZAJI WA NGATA ZA MEZANI---UTENGENEZAJI WA MAZULIA MADOGO----FULL NUKUU----KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA-----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITINI---STADI ZA KAZI---DARASA LA NNE ( STD 4 )--- ELIMU UJUZI / AMALI---( 15 ) --- " USANII WA MAUMBO " ---UFINYANZI WA SANAMU ZA BAPA , UTENGENEZAJI WA MAUMBO KWA KARATASI , UCHONGAJI WA VIFAA NA VYOMBO ---FULL NUKUU--KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA---( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 266 716 924 136
Wednesday, April 16, 2025
KITINI---STADI ZA KAZI----DARASA LA NNE ( STD 4 )-- ELIMU UJUZI / AMALI---( 14 ) ----- " USANII WA PICHA , CHAPA NA MAPAMBO " ----UCHORAJI , USANII WA PICHA KWA RANGI , UTENGENEZAJI WA PICHA , UCHAPAJI , UPAMBAJI KWA STENSELI-----FULL NUKUU--KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA----( PDF )----CALL / SMS / WHATSAPP + 266 716 924 136
Sunday, April 6, 2025
Friday, April 4, 2025
Thursday, April 3, 2025
Wednesday, April 2, 2025
KITABU 339 : " RHAPSODI YA UHAKIKA " ---FULL KITABU---KITABU CHA KILA SIKU------NA PASTOR CHRIS OYAKHILOME-----2024---BY LOVEWORLD PUBLISHING------" Katika hali ya SALA ( MAOMBI ) tumia kitabu hiki cha kila siku na orodhesha malengo yako kwa ajili ya kila mwezi " -----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Sunday, March 30, 2025
JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU--( 02 )---AGANO LA KALE---( II )---AHADI NA AGANO---WAKATI WA MABABU---HABARI ZA KUTOKA NA ZA AGANO ----MAANA YA " THEMES " AMA " DHAMIRA '----FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQUET DES CHAUX , MAfr,----TOLEO LA PILI---1997-----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Saturday, March 29, 2025
JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU--( 01 )---AGANO LA KALE-- ( I ) : UTUNGO WA VITABU VYA AGANO LA KALE---BIBLIA NI VITABU GANI ? -----VITABU VYA AGANO LA KALE VILITUFIKIA VIPI ? -----VITABU VYA BIBLIA VYOTE NI VYA AINA MOJA ? ----VITABU VYA AGANO LA KALE VILIANDIKWA LINI ? ---MWANGAZA WA ROHO MTAKATIFU ( INSPIRATION }------FULL NUKUU----NA PADRE J. BOUQUET DES CHAUX , MAfr.----TOLEO LA PILI , 1997------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Friday, March 28, 2025
Thursday, March 27, 2025
Saturday, March 8, 2025
KITABU 334 ----STADI ZA KAZI---DARASA LA TATU ( STD 3 )----KITABU CHA MWANAFUNZI----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---PICHA , CHAPA , MAUMBO NA MAPAMBO , SANAA ZA MAONYESHO , USUSI , USHONI WA NGUO , MUZIKI , KILIMO NA UFUGAJI----KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA------( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136 ---USIKOSE KITABU HIKI
Friday, March 7, 2025
KITABU---333----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI---11------DARASA LA PILI ( STD 2 )----KITABU CHA MWANAFUNZI----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---TUCHORE PICHA , TUFINYANGE VIFANI , TUSUKE UKILI . TUSHONE , SANAA ZA MAONYESHO , MUZIKI-----KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136------USIKOSE KITABU HIKI
KITABU 332------STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI 10---DARASA LA KWANZA ( STD 1 )----KITABU CHA MWANAFUNZI-----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---TUCHORE PICHA KWA KUTUMIA VIGEZO , TUTENGENEZE RANGI , TUTENGENEZE PICHA , TUCHAPE MAPAMBO , TUPAMBE KWA KUCHORA , TUTENGENEZE MAUMBO , TUFANYANGE VITU , TUSUKE UKILI , MUZIKI , TUIMBE , TUIGIZE & TUCHEZE NGOMA , TUCHEZE MICHEZO----KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA----( PDF )----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136-----USIKOSE KITABU HIKI
Tuesday, March 4, 2025
Sunday, March 2, 2025
Saturday, March 1, 2025
Saturday, February 15, 2025
STADI ZA KAZI / UJUZI 06---DARASA LA SABA ( STD 7 )---UASHI---UFYATUAJI NA UCHOMAJI WA MATOFALI---UJENZI WA NYUMBA --KUJENGA NYUMBA YENYE KUTA ZA MAWE ---KUJENGA NYUMBA KWA MATOFALI YA KUCHOMA---KUJENGA NGUZO ZA ZEGE KATIKA NYUMBA---UWEKAJI WA SAKAFU YA SARUJI KATIKA NYUMBA----UPAKAJI RANGI AU CHOKAA----FULL NUKUU ZA SOMO / NOTES---KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Thursday, February 13, 2025
Wednesday, February 12, 2025
STADI ZA KAZI / UJUZI 05---DARASA LA SITA ( STD 6 )---SANAA ZA MAONYESHO---KUIGIZA MATENDO MABAYA YA VIJANA , KUIGIZA MATENDO YANAYOFANYIKA KATIKA SHEREHE ZA MVIGA , KUCHEZA NGOMA ZA BURUDANI NYAKATI ZOTE----FULL NUKUU ZA SOMO----KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA-----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Monday, February 10, 2025
Wednesday, February 5, 2025
Tuesday, February 4, 2025
STADI ZA KAZI / UJUZI ( 01 ) : DARASA LA SITA ( STD 6 )----USHONI WA NGUO----FULL NUKUU---UTARIZI WA SHUKA KWA MISHONO MBALIMBALI---USHONI KWA CHEREHANI----USHONI WA KAPTURA---UFUMAJI WA SOKSI YA MTOTO KWA VYUMA----UFUMAJI WA KOFIA YA MTOTO KWA SHAZIA ZA CHUMA --KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA----{ PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Saturday, February 1, 2025
Thursday, January 30, 2025
Wednesday, January 29, 2025
Sunday, January 26, 2025
Saturday, January 25, 2025
Thursday, January 16, 2025
Wednesday, January 1, 2025
JIFUNZE UJUZI WA KUUZA NA MASOKO-----NA MWL JAPHET MASATU------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Kinachomtofautisha MTU mwenye MAFANIKIO KATIKA BIASHARA na MTU ambaye HAJAFANIKIWA ni UWEZO WA KUUZA ZADI SOKONI.
Kama unataka KUFANIKIWA / KUTOBOA KATIKA BIASHARA YAKO KWEA MATOKEO MAKUBWA basi uwe tayari KUJIFUNZA UJUZI HUU MUHIMU SANA WA KUUZA ILI UWEZE KUENDESHA BIASHARA YAKO KWA UFANISI MKUBWA.
WATU wengi WANAANZA KUWEKEZA KATIKA BIASHARA ILA WENGI HAWAJUI NAMNA GANI WANAWEZA KUJITANGAZA NA KUJULIKANA NA WATU.
BIASHARA NI MATANGAZO . MAKAMPUNI MAKUBWA KAMA YA COCA COLA , PESPI N,K HUJITANGAZA SANA NA HUFANIKIWA SANA . HAKUNA UCHAWI NA USHIRIKANA HAPA NI MATANGAZO KWA KWENDA MBELE.