ELIMU UJUZI BLOG NI BLOG YA JAMII AMBAYO NDANI YAKE KUNA ELIMU , UJUZI , UBUNIFU , MAFUNZO MBALIMBALI , UTAALAMU , STADI ZA MAISHA. AKIBA . UWEKEZAJI , UJASIRIAMALI , DINI , SAIKOLOJIA , TEOLOJIA , FALSAFA , NIDHAMU , ELIMU YA PESA , KUSOMA RIWAYA / HADITHI , USHAIRI , MICHEZO YA KUIGIZA . KARIBU UPATE MAARIFA UWEZE KUJIAJIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.
Saturday, May 31, 2025
Friday, May 30, 2025
Monday, May 26, 2025
Thursday, May 22, 2025
Sunday, May 18, 2025
Thursday, May 15, 2025
Tuesday, May 13, 2025
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU --( 08)----AGANO JIPYA --( 08 )---YESU---NAMNA INJILI ZILIVYOTUNGWA , INJILI ILIVYOANDIKWA NA MATHAYO , MARKO , LUKA , YOHANE , INJILI ZA SINOPTIKI , HABARI ZA UTOTO WA YESU , NDUGU ZA YESU ,NYARAKA KWA WATU WOTE NA UFUNUO , ZABURI , ---FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQUET DEUS CHAUX . M. Afr.----TANZANIA----( PDF )---CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Monday, May 12, 2025
KITABU 340 : 101 WAYS TO MAKE MOBEY IN AFRICA---FULL BOOK---LUCRATIVE BUSINESS IDEAS , INSPIRING SUCCESS STORIES , AND INTERESTING BUSINESS OPPORTUNITIES FOR FORWARD THINKING ENTREPRENEURS----BY JOHN AUL LWUOHA & HARNET BOKREZION PHD-----FIRST EDITION , NOVEMBER , 2014-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
MAKALA : UTULIVU , AMANI , FURAHA , UPENDO HAVIUZWI DUKANI VIPO NDANI YAKO , VIFUKUE UFURAHIE MAISHA---KUWA NA TAHAJUDI ( MEDITATION ) KILA SIKU KWA DAKIKA 5 .10 . 15 INATOSHA-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Kakaa/Dadaa…
Hivi unajua ni kwa nini kila siku unaamka umechoka hata kama ulilala masaa 8?
Kuna kitu kimoja tu kinakusumbua… akili yako haipumui.
Una mawazo mengi.
Stress.
Presha.
Mengine hata hujui yanatoka wapi.
Lakini yanakutesa.
Unasema huna muda.
Unasema maisha ni magumu.
Unasema nitapumzika nikiwa kaburini.
Lakini ukweli ni huu:
Ukikosa utulivu ndani yako…
Hakuna utakachofanikisha nje yako.
Sasa Tuseme Ukweli Wote….
Unajitesa Mwenyewe.
Umezoea kukimbizana na kila kitu.
Simu haikai mbali.
TV haizimwi.
Instagram haifungwi.
Magroup ya WhatsApp hayanyamazi.
Hali hii inakuua polepole.
Inakuondolea amani.
Inakurudisha nyuma.
Na mbaya zaidi…
Unadhani hiyo ndiyo kawaida ya maisha.
Achana Na Uongo Wa DUNIA.
Watu wengi hawajui siri hii…
Kuna njia moja rahisi sana ya kupata amani ya ndani.
Ya kutuliza kichwa.
Ya kujisikia safi hata ukiwa huna kitu.
Inaitwa tahajudi (meditation).
Dakika 10 tu kwa siku zinaweza kubadilisha kila kitu.
Watu wanasema…
“Ah hiyo ni ya Waasia.”
“Ni mambo ya yoga.”
“Ni mapepo.”
Lakini siyo kweli.
Tahajudi ni tiba ya kiroho, kiafya, na kisaikolojia.
Ni nafasi ya kuongea na nafsi yako.
Kusafisha akili yako.
Kusikiliza kilicho ndani yako..
Jifunze Kitu Hapa….
Meditation haichukui muda.
Haitaki pesa.
Haibagui dini wala elimu.
Unakaa tu kimya. Unavuta pumzi. Unawaza kwa utulivu.
Dakika 5. 10. 15.
Inatosha.
Kila siku.
Polepole, unajiona mtu tofauti.
Unaanza kuelewa maisha.
Unaanza kuishi kwa amani.
Ndiyo dawa ya wasiwasi.
Ndiyo suluhisho la stress.
Ndiyo siri ya watu wenye mafanikio makubwa.
Mimi Niliwahi KUPOROMOKA KISAIKOLOJIA.
Na nitakuambia ukweli huu…
Miaka michache iliyopita, maisha yalinigonga mkwara.
Nilikuwa nimechanganyikiwa.
Mara deni, mara pressure, mara msongo, mara mahusiano hayajakaa vizuri.
Siku moja nikakaa chini. Nikasema, Acha nijaribu hii tahajudi.
Nilikaa kimya. Nikavuta pumzi.
Nilianza polepole.
Siku ya kwanza… hakuna nilichosikia.
Siku ya pili… niliboreka.
Siku ya tatu… nililia.
Siku ya saba… nilitulia.
Na tangu siku hiyo…
Maisha yamebadilika.
Sina presha ya maisha.
Nimejifunza kujisikiliza.
Nimejifunza kuwa mtulivu hata dunia ikiwa inateketea.
Na leo, najisikia kuwa hai kwa mara ya kwanza.
Mwisho Wa SIKU…
Usubiri msiba ndipo uanze kujitafuta.
Usingojee maisha yakuchoshe kabisa ndio uanze kutafuta utulivu.
Anza leo.
Kaa chini.
Fumba macho.
Vuta pumzi.
Futa mawazo.
Sikiliza moyo wako.
Hapo ndipo utagundua kuwa utulivu hauuziwi upo ndani yako.
Friday, May 9, 2025
Monday, May 5, 2025
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA---( 06 )----AGANO JIPYA----( 06 )---UTANGULIZI---UTUNGO WA VITABU VYA AGANO JIPYA---PETRO----SHIRIKA LINAANZA---MAISHA YA SHIRIKA-----NAMNA KANISA LILIVYOENDA MWANZONI---FULL NUKUU-----NA PADRE J. BOUQUET DES CHAUX, M. Afr----TOLEO LA PILI-----1997-----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Sunday, May 4, 2025
KITINI-----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI ----DARASA LA SITA ( STD 6 )----" UFUNDI BOMBA " ----MABOMBA YA PLASTIKI , KUFANYA MATENGENEZO YA MABOMBA YA PLASTIKI , UTANDIKAJI NA UUNGAJI WA MABOMBA-----FULL NUKUU----KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA----( PDF )-----CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Friday, May 2, 2025
JE , MSHAHARA WAKO WA KILA MWEZI WA KUTOSHA ???? UTAISHI UKIFUKUZA MAISHA MPAKA UNAZEEKA ------ ????
Mpendwa Rafiki,
Unajua nini kinauma kuliko mshahara mdogo?
Ni kuwa na mshahara lakini bado unaishi kama huna kazi.
Kila mwezi hela zinaingia… lakini hazikai.
Kila siku unasema, Mwaka huu lazima nibadili maisha… lakini bado umerudi palepale.
Unajituma kazini, unachoka, lakini mafanikio yako bado yako pending!
Halafu cha ajabu… watu walioanzisha biashara wakiwa bado kwenye ajira, leo hii wameanza kuamua hata siku ya ku-resign.
Wewe bado unaota tu, “siku moja…”
Siku moja haiji bila hatua, bro!
Ngoja nikuambie ukweli mchungu lakini wa maana…
Kama
hujui kudili na pesa zako, hujui kupangilia muda wako vizuri, hujui
kujiwekea direction ya mafanikio hata upewe mshahara mara mbili, bado
utalia.
Utaishi ukifukuza maisha mpaka unazeeka.
ENDELEA KUJIFUNZA MENGI NDANI YA HII BLOG INAYOITWA ELIMU UJUZI TANZANIA BLOG
INAYOENDESHWA NA MWL . JAPHET MASATU--
WA DAR ES SALAAM , TANZANIA , AFRIKA YA MSHARIKI TUWASILIANE KWA CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITINI----STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI----DARASA LA SITA ( STD 6 )--- "KILIMO NA UFUGAJI "----USTAWISHAJI WA MIMEA YA MAZAO YA CHAKULA---MPUNGA , MTAMA , UWELE , MIHOGO , VIAZI MVIRINGO , VIAZI VITAMU , MAHARAGE , KUNDE , MBAAZI----UJENZI WA MABANDA YA KUFUGIA WANYAMA---UTENGENEZAJI WA VYOMBO VYA WANYAMA WAFUGWAO---UFUGAJI WA NGURUWE & KUKU WA MAYAI---KWA SHULE ZA MSINGI---TANZANIA----( PDF )------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
Thursday, May 1, 2025
KITINI---STADI ZA KAZI / ELIMU UJUZI / AMALI ----DARASA LA NNE ( STD 4 )---( 19 )---UPISHI ----KANUNI ZA USALAMA NA USAFI KATIKA UPISHI , UKAANGAJI WA VITAFUNO , UPISHI WA CHAPATI , UPISHI WA BISI , UTAYARISHAJI WA VINYWAJI MOTO CHAI NA KAHAWA----FULL NUKUU---KWA SHULE ZA MSINGI----TANZANIA-----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU ---( 05 )----AGANO LA KALE----( 05 )----ISRAELI ANANGOJA ----UTANGULIZI ,, WAYAHUDI WANARUDI KUTOKA UHAMISHONI : EZRA NA NEHEMIA , MAJARIBIO YA MWISHO ----FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQET CHAUX , M.Afr. ----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
KITABU 338 : JIFUNZE BIBLIA TAKATIFU ---( 05 )----AGANO LA KALE----( 05 )----ISRAELI ANANGOJA ----UTANGULIZI ,, WAYAHUDI WANARUDI KUTOKA UHAMISHONI : EZRA NA NEHEMIA , MAJARIBIO YA MWISHO ----FULL NUKUU---NA PADRE J. BOUQET CHAUX , M.Afr. ----TANZANIA----( PDF )-------CALL / SMS / WHATSAPP + 255 716 924 136
FIKRA ZINA NGUVU YA KUATHIRI MAISHA YAKO
" Kumbuka ukiweza kubadilisha fikra zako, unaweza kubadilisha maisha yako."